top of page

NILITELEZA NAOMBA RADHI - HARMONIZE




Ujumbe kutoka kwa Harmonize

"kwa Mola Wangu Yakwamba Niliteleza, Mimi ni Kiumbe dhaifu Mbele Yake kwakuwa Sijapata Elimu tosha Yakujua YEYE Ni Nani. Kama ilivyo Kwa Wanadamu Wengine Bila Shaka Wanajiuliza Hili Swali!! Kosalangu Ni kuliweka Hadharani !!!Ukizingatia.

Mimi ni Mtu Ninae Tazamwa na Kufwatiliwa Kwa ukaribu Zaidi Na Jamii. Huruma Yangu Kwa Mwanamke Na kufwatilia Tangu Kuzaliwa Kwangu Namuona Mwanamke Aki play Nafasi Kubwa Sana!!!

BABA YANGU na MAMA YANGU walitengana Nikiwa na Miaka Miwili Kwasababu BABA YANGU Alioa Mke wa pili Dini Yangu inaruhu Hivyo!! Na Siku Zote BABA yangu Alikuwa Akinisisitiza Kwamba Yeye Ndie Kanilea Na Sio Mama Yangu!! Namshukuru sana Kwa hilo Hakika Alijitoa Sana Namuhudumia kwa Chochote nampenda Ninamuombea Sanaa!!! Lakini Baadae Nikqgundua Alienilea NI MAMA YANGU WAKAMBO!!!

SUBHANA LLAH Hii Dunia Haiwezekani Bila Mwanamke !!! Haya Na Mengine Mengi Yalinipelekea Kusema Yote Niliyo Yasema !!!!!!

Nichukue Nafasi Hii Kuwashukuru Viongozi wa Dini Wote Kwa Kunipatia Elimu!! Kiukweli nimeridhika Na inatosha !!!

Hakika nimeamini Kuna Viongozi Imara wenye Ueledi Na Mapenzi Mazito Sanaa!!! Na Dini Yetu Ya Kiisilam !! NAWASHUKURU SANA !!! Kwakunielimisha

MUNGU SUBHANALLAH HAFANANI WALA HAFANANISHWI NA YEYOTE !! Mashehe Zangu Naomba Mtambue Kwamba Mungu Amewaoongoza Kuwaelimisha Wengi Sana Kupitia Mimi !!! Naamini kuna Wengi sana waliokuwa na Mawazo Kama Yangu!! Lakini Pia Kwakiasi Kikubwa Mitandao Imekaa iki TAFAKURI Kuhusu Mungu Na Sio Mambo Yaki puuziii!!!!

NIWAPONGEZE & Niwaombe Natambua DUAA zenu ni Rahisi sana Kufika Kwa Mungu!! shehe Yeyote Alie Niombea DUA MBAYA Basi Achukue Nafasii Hii Kutengua!!!

Kwa kuniombea Dua Njema!!! Maana Nimeshaelewa Na Nimeshatubu !!! Kwake

ALLAH SUBUHANA WA TAALA Hakika Yeye Hafanani Wala Hafananishwi Haja zaa Wala Hajazilisha !!!!! MUNGU HAFANANISHWI NA CHOCHOTE"

Comments


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page