
Muigizaji Othman Njaidi maarufu kama Patrick Kanumba amesema aliwahi kutafutwa na mwanamke mmoja Mtandaoni anayetokea Nchini Ujerumani ambapo alimtaka wazae mtoto kwa mkataba ambapo atalipwa pesa.
Amesema Mwanamke huyo alimwambia ana sifa za aina ya mtoto ambaye anamhitaji hivyo alimuomba azae na kisha baada ya hapo kila mmoja anaendelea na maisha yake na hatokuwa akihesabika tena kama Baba kwani kila mmoja angepita njia yake baada ya kuzaa tu.
Comentarios