Kutoka kwenye ukurasa wa Instagram wa Mtangazaji wa kipindi cha Lavidavi Wasafi FM @divatheebawse amefunguka haya "Going back to where I belong !. Nimeamua kurudi ktk Imani Ya Dini Yangu Ya Kikristo!. Nimezaliwa Mkristo na nimekulia katika Maisha na Mazingira Ya Kikristo ... No hard feelings!.
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_4a8a203f099540a6a535833a6d2e5a80~mv2.jpg/v1/fill/w_980,h_980,al_c,q_85,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/57c8da_4a8a203f099540a6a535833a6d2e5a80~mv2.jpg)
I am Roman Catholic!. Jesus Is The One Kuanzia Jumapili Hii ntaenda kanisani St. Peters na kuendelea na Maisha Yangu Ya Kuamini katika Mungu Na Yesu Kristo kama Tumaini langu. Mengi zaid ntakuwa na innolight sns kuelezea in details na ku inspire vijana ktk sehemu Mbalimbali!.
all in all I am Blessed and Highly favored by The Lord Mungu Yu Mwema Diva Gissele Malinzi".
コメント