Kutoka kwenye InstaStory ya ukurasa wa Instagram wa mwanamuziki maarufu wa Bongo Fleva JayMelody amefunguka haya
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_72331373edc44b6f84dc0279e55df858~mv2.jpg/v1/fill/w_980,h_980,al_c,q_85,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/57c8da_72331373edc44b6f84dc0279e55df858~mv2.jpg)
,"Nimejitaidi sana nisigombane na msanii yoyote katika maisha yangu, lakini nimegundua haiwezekani. Wasanii mnapenda sana ugomvi, Mnapenda sana chuki aisee"
Unadhani kitu gani kimemsibu JayMelody?
留言