top of page

OMMY DIMPOZ AKUTANA NA MCHEZAJI WA REAL MADRID AKIWA MAPUMZIKO IBIZA SPAIN



Kama tunavyomjua Staa wa Bongo Fleva Ommy Dimpoz ni mzee wa kula bata hadi bata anataka kusepa sasa Bhana Ommy amekutana na beki wa kulia wa Real Madrid na timu ya Taifa Spain, Dani Carvajal Ibiza Kisiwa kilichopo katika Bahari ya Mediterania Spain. Akiwa mapumzikoni baada ya ubingwa wa Ligi ya Mabingwa na Michuano ya EURO 2024.

Huenda Ommy Dimpoz amemualika nyota huyo aje Tanzania kwani kwenye chapisho lake la Instagram Ommy Dimpoz aliweka Caption isemayo "Was Nice Catching Up with the Legend El Capitano @dani.carvajal.2 in Ibiza see you soon ".

Comments


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page