Ni maelfu ya watu hususani mashabiki wa Yanga SC wakipita nje ya jengo la Makao Makuu ya

Simba SC Msimbazi Kariakoo jijini Dar Es Salaam kuelekea Jangwani Makao makuu ya Yanga SC ikiwa ni Paredi la Ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2023/24 ambapo Yanga ndio Mabingwa kama Basi la Ubingwa linavyoonekana hapo kwa mbali likiwa na kombe viongozi, benchi la ufundi na wachezaji.
Comments