![](https://static.wixstatic.com/media/ca9c0e_80879730870e4b6fa6767df20bf2852b~mv2.jpg/v1/fill/w_980,h_980,al_c,q_85,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/ca9c0e_80879730870e4b6fa6767df20bf2852b~mv2.jpg)
Leo imefanyika Baby Shower ya Paula ambapo rasmi imewekwa wazi kuwa yeye na mpenzi wake Marioo wanatarajia kupata mtoto wa kike.
Kwenye hafla hiyo fupi ya Baby Shower imehudhuriwa na watu mbalimbali mashuhuri wakiwemo wazazi wa Paula ambao ni Baba yake mzazi Mtayarishaji mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva P. Funky na mama yake muigizaji wa Bongo Movie Kajala Masanja.
Photo credits #EFM
Kommentare