top of page

PAZIA LA THANK YOU SIMBA SC LAFUNGULIWA NA BOCCO



Hatimaye pazia la kutoa mkono wa kwaheri (Thank you) kwa wachezaji wa klabu ya Simba SC limefunguliwa rasmi na aliyekuwa Nahodha na mshambuliaji kinara wa klabu hiyo John Bocco ambapo amepewa mkono wa kwaheri mchana wa hii leo Juni 17.

Opmerkingen


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page