top of page

PESA YANGU SIJAPATA - KAYUMBA

PESA YANGU SIJAPATA - KAYUMBA

Kutoka kwa msanii wa Bongo Fleva Kayumba ambaye siku kadhaa nyuma alitoa malalamiko ya kudhulumiwa pesa yake na Director Mzava na Uongozi wa Rayvanny katika kazi waliyopanga kufanya ambapo msanii huyo aliamua kufikisha kilio chake kwa mamlaka husika sasa muda huu ametoa taarifa hii




"NIMEKUWA NIKIPОКЕА SMS NYING UKO DM KUTOKA KWENU FANS WANGU , MKITA KUJUWA KUHUSU PESA YANGU

SIJAPATA WAUNGWANA ΚΑΜΑ ΝΙΚΙΡΑΤΑ LAZIMA NIJE KWENU NA MREJESHO ASANTENI."

"MDAIWA WANGU AMEITWA POLICE SENTRO TANGU JUZI NA MPAKA LEO MDA HUU AJAITIKIA WITO, BADALA YAKE AKAONA AIDANGANYE SERIKALI KUWA KASAFIRI ZANZIBAR KUMBE YUPO ZAKE KWAKWE GOBA MIGUU JUU

SASA SIJUWI KIUPANDE WAKE ANAICHUKULIAJE KAULI YA MHESHIMIWA NA SERIKALI KIUJUMLA MPKA ANADILIKI KUWADANGANYA TENA

AU LABDA KAULI YA MHESHIMIWA PIA ANAICHUKULIA NI (KIKI)". Ameandika Kayumba

Comments


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page