top of page

PETER MSECHU AMLILIA RAIS MSTAAFU MWINYI AACHIA WIMBO

PETER MSECHU AMLILIA RAIS MSTAAFU MWINYI AACHIA WIMBO "LALA SALAMA ALI HASSAN MWINYI"


Mwanamuziki Peter Msechu ametoa wimbo maalum wa kumuaga Rais mstaafu Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi uitwao 'lala salama Ali Hassan Mwinyi'

Katika wimbo huo Msechu ameanza kwa kuutanguliza usemi maarufu wa Mzee Mwinyi aliowahi kunukuliwa akisema "maisha ya Mwanadamu ni hadithi tuu hapa ulimwenguni, basi eee Ndugu yangu kuwa hadithi nzuriii"

Hayati Ali Hassan Mwinyi amefariki jana Hospitalini Jijini Dar es salaam baada ya kuugua kansa ya mapafu kama ilivyotangazwa na Rais Samia Suluhu Hassan

Comentarios


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page