top of page

PICHA ZA AMINI NA LINAH ZAZUA GUMZO MTANDAONI

Picha za wasanii wa Bongo Fleva Amini na Linah ambao wamewahi kuwa wapenzi zaidi ya


miaka kumi iliyopita zimezua gumzo mitandaoni na kuacha maswali je wawili hao wamerudiana au lah? Picha hizo za mahaba zimechapishwa kwenye ukurasa wa Linah zikiwa na Caption isemayo "Yule Anarukaruka Tu Haamshi Mpaka Pombe, vya Kuchacha Vinalika Tu Nimekumiss Mmakonde #KWAX"

Huenda ikiwa ni kazi mpya au wameamua kurejesha penzi lao kwani Comments za mastaa wenzao wengi zimeonekana kuwahamasisha warudiane tu kama zamani.

Msasa Media tunafanya jitihada za kuwasaka ili watupe ukweli wa kile kinachoendelea kati yao.

Comments


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page