top of page

POGBA AFUNGIWA MIAKA MINNE..

POGBA AFUNGIWA MIAKA MINNE...

Kiungo wa Klabu ya Juventus na timu ya Taifa ya Ufaransa Paul Pogba amepigwa marufuku



kucheza soka kwa miaka minne na Mahakama ya kupambana na dawa za kulevya nchini Italia.

Hukumu hiyo inaweza kumaliza safari ya soka ya Pogba, kwani mwezi ujao, atatimiza miaka 31

Pogba alirejea Juventus kutoka Manchester United mnamo 2022 lakini alikabiliwa na majeraha, akicheza mechi 6 pekee Serie A, Juventus msimu uliopita na mbili msimu huu.

Comments


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page