top of page

POLE SANA MAMA






Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kumfariji Mama Siti Mwinyi, Mjane wa Rais Mstaafu awamu ya pili Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar tarehe 01 Machi 2024.

Kommentare


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page