Mwanadada Poshy Queen amemtakia kila la kheri mpenzi wake mwanamuziki Harmonize kwenye tukio lake kubwa la uzinduzi wa Albamu yake mpya ya Muziki wa Samia usiku wa leo

katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam kupitia ukurasa wake wa Instagram Poshy amechapisha picha hizi kisha kuandika
"Na usiku wa leo mtu wangu ataandika historia, nimefurahi sana, Alifanya kazi kwa bidii kwa hili, naiweka leo mikononi mwa Mungu." Ameandika Poshy.
ความคิดเห็น