top of page

PRINCE DUBE AWAAGA AZAM FC...

Straika raia wa Zimbabwe, Prince Dube ameandika barua kushukuru na kuaga viongozi, Benchi la Ufundi, wachezaji wenzake na mashabiki wa Azam FC baada ya kufanya nao kazi



kwa miaka mitatu na nusu.

Kumbuka Azam FC ilimpa Dube maelekezo ya kufuata masharti ya kuvunja mkataba kama yalivyoainishwa katika mkataba wake akitakiwa kulipa USD 300,000 ili aweze kuruhusiwa kuondoka klabuni hapo.

Comments


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page