Mashabiki wa Yanga ama kwa hakika huu ni mwaka wao kila siku wanakuja na jambo jipya na sasa tawi Yanga On Fire wamekwea pipa kwenda kushuhudia fainali ya CRDB BANK FEDERATION CUP kupitia ukurasa wao wamechapisha picha hizi wakiwa safarini kuelekea Zanzibar na kuandika
![](https://static.wixstatic.com/media/ca9c0e_b8973bbd129f4bddaf95b795a5790592~mv2.jpg/v1/fill/w_980,h_980,al_c,q_85,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/ca9c0e_b8973bbd129f4bddaf95b795a5790592~mv2.jpg)
"Msafara wa Viongozi na Wanachama wa tawi la@yanga_on_fire_groupUmewasili hapa Katika uwanja wa Mwalimu Julius Nyerere International Airport (JNIA) Terminal 2 ..
Tayali kwa safari yetu ya Kuelekea Zanzibar kwa ajili ya kwenda kuipa Support klabu yetu pendwa@yangasckwenye Fainal ya Kombe la Crdb federation cup dhidi ya wanalambalamba@azamfcofficial..
Kumbuka tawi la@yanga_on_fire_grouptunatumia Dege la Wanaanchii@airtanzania_atclThe wings of kilimanjaro kuelekea Kwenye Visiwa vya karafu
Ujanja ni Kujisajili Kadi Bila Malipo ni Mzigo, Waleeeeee Twalukaaaaa
Tukutane kwenye Dimba la New Amaan Zanzibar"
Mchezo huo utachezwa majira ya saa 2:15 usiku kwa saa za Afrika Mashariki.
Comments