top of page

RAIS SAMIA ATOA SALAMU ZA POLE MSIBA WA GARDNER...




Kutoka kwenye ukurasa wa Instagram wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan ametuma salamu hizi za pole kwenye msiba wa Gardner

"Ninatoa pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki na wafanyakazi wa Clouds Media Group kwa kuondokewa na ndugu yetu, Gardner Gabriel Habash. Mchango wa Gardner kwenye ustawi wa sekta ya habari nchini ni mkubwa, na amekuwa mnasihi wa vijana wengi. Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema. Amina."

Comments


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page