top of page

RAIS SAMIA AWAPONGEZA TABORA UNITED KWA USHINDI DHIDI YA YANGA SC


Kutoka kwenye ukurasa wa Instagram wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan amewapongeza Tabora United kwa ushindi wa mabao matatu kwa moja dhidi ya Yanga SC mchezo wa Ligi Kuu ambapo ametuma ujumbe huu


"Pongezi kwa Tabora United kwa ushindi wenu dhidi ya Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu. Ninyi na Klabu zote washiriki mnaipa Ligi hii thamani inayovutia uwekezaji kibiashara na ajira, na yenye mvuto wa kipekee katika ukanda huu wa Afrika. Endeeleni kutoa burudani kwa mamilioni ya Watanzania ndani na nje ya nchi yetu, Kila la kheri."

Comments


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page