MZENJI ATUA NAIROBI APOKELEW
NA MTOTO WA RAIS RUTO CHARLINE
Rais wa Timu ya Mpira wa Kikapu ya Dar City, Mussa Mzenji amefika Nairobi Kenya na

kupokelewa na mtoto wa Rais Ruto, Charline Ruto baada ya kumualika kutembelea mechi za Bonanza za mpira wa kikapu ambazo baadhi zinasimamiwa na foundation ya mtoto wa Rais Ruto
Katika mualiko huo pia mgeni mwingine aliyealikwa ni Pamoja Na mtoto wa Rais wa Zimbambwe, Tariro Washe.
Hii yote ni kutokana na mafanikio ya kukuza mpira wa kikakupu nchini ambayo Mussa amekua akifanya kwa kipindi cha hivi karibun ikiwemo kusapoti timu za kikapu za Pazi na Dar City.
Comments