![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_f03591631c2b4f668b704f644bfa83b2~mv2.jpg/v1/fill/w_526,h_526,al_c,q_80,enc_avif,quality_auto/57c8da_f03591631c2b4f668b704f644bfa83b2~mv2.jpg)
Rais wa Yanga na Mwenyekiti wa vilabu Barani Afrika, Eng.Hersi Said amealikwa kwenye Mkutano mkubwa wa vilabu Barani Ulaya [ECA], unaofanyika katika Mji wa Athen, Ugiriki. Hersi amepata Mwaliko huu kutoka kwa Mwenyekiti wa ECA na Rais wa PSG, Nasser Al- Khelaifi. (Pichani).
Comments