RAIS WA YANGA SC AMKABIDHI AFISA HABARI ALLY KAMWE RATIBA YA PARTY LA MABINGWA....

Kutoka kwenye ukurasa wa klabu ya Yanga SC ambao tayari ni mabingwa wa Ligi kuu ya NBC 2023/2024 wamechapisha picha hii kisha wameandika ujumbe huu
"Rais wa Young Africans SC na Mwenyekiti wa Shirikisho la Vilabu Afrika @caamil_88 amemkabidhi Meneja wa Habari na Mawasiliano @alikamwe file la ratiba nzima ya Party la MABINGWA"
Comentarios