Rais wa Klabu ya Yanga SC Eng. Hersi Said akiwa na mkewe wamewapeleka wachezaji wa
![](https://static.wixstatic.com/media/146e6d_f86988aff14746fc8e998297b144bba0~mv2.jpg/v1/fill/w_980,h_980,al_c,q_85,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/146e6d_f86988aff14746fc8e998297b144bba0~mv2.jpg)
Kimataifa Achraf Hakimi wa PSG ambaye ni raia wa Morocco kutembelea vituo vya utalii akiwa pamoja na wenzake kipindi hiki cha mapumziko baada ya Ligi mbalimbali kutamatikaPicha zaidi tazama sehemu ya Comments
Comments