top of page

RAMADHAN BROTHERS WAKUTANA NA RAIS SAMIA..




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amebeba Kombe la Ubingwa wakati wa picha ya pamoja na Vijana wa Ramadhan Brothers ambao waliibuka washindi wa shindano la America's Got Talent (AGT) Fantasy League mara baada ya Iftar Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 27 Machi, 2024.

Comments


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page