![](https://static.wixstatic.com/media/ca9c0e_601634c9c6254e09a96ca965234948f7~mv2.jpg/v1/fill/w_980,h_980,al_c,q_85,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/ca9c0e_601634c9c6254e09a96ca965234948f7~mv2.jpg)
Rapa wa Marekani Trippie Redd amefunguka kuwa anapenda sana rangi nyeusi kuanzia kwenye ngozi yake na ndio maana hata jumba lake limetawala rangi hiyo japokuwa wengi wameshangazwa na muonekano huo wengine wakihoji hali inakuaje msimu wa joto huku wengine wakihusisha na masuala ya kishirikina.
Comentários