top of page

RASMI DERBY YA KARIAKOO KESHO PILATO NI KAYOKO


Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imemtangaza mwamuzi Ramadhan Kayoko kutoka Dar es Salaam kuwa ndiye refa atakayesimamia sheria 17 za mchezo wa soka, kesho Oktoba 19, 2024 majira ya saa 11:00 jioni kunako Dimba la Benjamin Mkapa Dar es Salaam kwenye Kariakoo Derby Simba SC vs Yanga SC.


Kayoko atasaidiwa na Mohamed Mkono kutoka Tanga na Kassim Mpanga kutoka Dar es Salaam, huku mwamuzi wa akiba akiwa ni Tatu Malogo.

Comments


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page