top of page

RASMI MANYAMA BYE BYE AZAM FC...

Hatimaye mchezaji Edward Manyama ameaga rasmi kunako klabu ya Azam FC tayari kwa


kwenda kutafuta changamoto sehemu nyingine ambapo kupitia ukurasa wake wa Instagram amefunguka haya "Bye bye Azam FC bye bye Chamazi ni ngumu sana ila ni wakati sahihi wa mimi kuondoka kwenye familia ya Azam FC nimeshindwa hata kuandika kwa sababu ya upendo wenu (wafanyakazi) (wachezaji) (benchi la ufundi) (viongozi) (mashabiki) nawatakia maisha yenye furaha na malengo tele Mungu awabariki sana sana".

Comments


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page