![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_1b8d7eb2591b4b0bb1b2b5fa08dffd1d~mv2.jpeg/v1/fill/w_980,h_980,al_c,q_85,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/57c8da_1b8d7eb2591b4b0bb1b2b5fa08dffd1d~mv2.jpeg)
Mtandao wa TikTok umeanza tena kutoa huduma zake nchini Marekani baada ya kufungwa kutokana na sheria mpya ambayoilitaka kupiga marufuku matumizi ya mtandao huo.
Mtandao huo unarejea kufuatia uhakikisho kutoka kwa Rais mteule Rais Donald Trump, ambaye aliahidi kutoa agizo la kwamba Tiktok ipatikane kwa Wamarekani wote zaidi ya milioni 170.
Comentarios