top of page

RAYA THE BOSS MKE WA BARNABAATOA YA MOYONI "KAZI KUBEBAMASHABIKI KUMBEBA MKEO AAAH"


Kutoka kwa mke wa Barnaba mwanadada Raya The Boss ametoa ya Moyoni kwa mumewe juu ya kuwabeba mashabiki wa kike anapokuwa kwenye shoo wakati yeye habebwi ambapo amefunguka "Kazi kubeba mashabiki kumbeba mkeo aaah".


Komentar


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page