Baada ya miaka mitano hatimaye mastaa wa Bongo Fleva Rayvanny na Harmonize wameachia ngoma mpya iitwayo Sensema ambapo Chui amemshirikisha Tembo na wimbo tayari upo
![](https://static.wixstatic.com/media/146e6d_d2fc9a2747284ba7b72ad5f4787cfaad~mv2.jpg/v1/fill/w_980,h_980,al_c,q_85,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/146e6d_d2fc9a2747284ba7b72ad5f4787cfaad~mv2.jpg)
kwenye majukwaa mbalimbali ya kusikiliza muziki.
Ikumbukwe kuwa mara ya mwisho Rayvanny na Harmonize walifanya ngoma yao kubwa ya Paranawe miaka mitano iliyopita ambapo hadi hivi sasa ngoma hiyo kwenye mtandao wa YouTube imetazamwa mara Milioni 9.9
Sasa kwenye hii Sensema ni nani kamfunika mwenzake?
Comments