top of page

RC KANALI AHMED ABBAS AMKABIDHI BAISKELI MWENYE ULEMAVU...

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma amemkabidhi Bwana Mohamed Ally mwananchi wa kijiji cha Mputa kilichopo katika Wilaya ya Namtumbo Mkoani Ruvuma Baiskeli ya Magurudumu matatu



Mwananchi mwenye Ulemavu wa miguu,

Kanali Ahmed amesema Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan inahakikisha inawajali na kuwapa Usawa wa huduma zote muhimu kwa Makundi yote katika Jamii ikiwemo Wanawake,Vijana na Watu wenye mahitaji Maalumu.

Katika atua hiyo Bwana Mohamed amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan na Wasaidizi wake kwa kuwajali na kuendelea kuwahudumia katika masuala mbalimbali ya kijamii.

Comments


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page