top of page

ROBO FAINALI CAFCL

TIMU ZA YANGA VS MAMELODI SUNDOWNS NA PIA NI SIMBA SC VS AL AHLY

Kutoka jijini Cairo Misri Simba imepangwa kukutana na Al Ahly ya Misri wakati Yanga ikiangukia mikononi mwa Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini katika michezo yao ya robo fainali Ligi ya



Mabingwa Afrika msimu huu, na wote wawili wataanzia nyumbani.

Mechi za mkondo wa kwanza zitapigwa kati ya Machi 29-31 na kurudiana kati ya Aprili 5-7, 2024.

Hii hapa ratiba kamili ya robo fainali na nusu fainali:-

ROBO FAINALI

Simba SC vs Al Ahly

TP Mazembe vs Petro Atletico

Esperance vs ASEC Mimosas

Yanga SC vs Mamelodi Sundowns

NUSU FAINALI

Esperance/ASEC vs Yanga vs Mamelodi TP Mazembe/Petro Atletico vs Simba/Al Ahly.

Nani kutoboa kwenda Nusu Fainali?

Comments


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page