top of page
Radio on air

RONALDO AMWAGA MACHOZI BAADA YA KUKOSA PENATI

Kwenye Dakika 30 za nyongeza baada ya 90 kutamatika imefanya Kipa wa Slovenia, Jan



Oblak kuwa shujaa baada kufanikwa kwenda upande sahihi kwa kuruka na kuzuia mkwaju wa penalti uliopigwa Cristiano Ronaldo na kuiokoa timu yake.

Cristiano Ronaldo ameonekana akibubujikwa na machozi baada ya kukosa mkwaju huo na sasa Mechi ikielekea tamati ngoma bado ipo 0 - 0.

Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page