top of page

SHAMBULIO LA ISRAEL LAUA WATU 59, WA'PALESTINA WAOMBOLEZA

Na Ester Madeghe,


Wapalestina na Walebanon wanaomboleza vifo vya watu takribani 56, baada ya wanajeshi wa Israel kuwauwa watu 36 katika shambulizi dhidi ya Jabalia iliyopo kaskazini mwa Gaza na watu 23 katika shambulio jingine katika kijiji cha Almat, kaskazini mwa mji mkuu wa Lebanon, Beirut.


Mamlaka za afya huko Gaza zimethibitisha kuwa jeshi la Israel limesababisha vifo vya Wapalestina 59 katika eneo hilo siku ya Jumapili, hapo jana. Ambapo, kupitia tafiti zilizotolewa na wizara ya afya ya Lebanon , inakadiriwa kuwa, kila siku watu 38 hufariki dunia au kuuawa kutokana na mashambulizi yanayofanywa na jeshi la Israel.

Comentários


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page