top of page

SI HIVYO UMEWEZA NILIKWAMBIA TOKA GEREZANI UNENEPE BONGE ANGEKUMALIZA - BABALEVO


Msanii BabaLevo amepost picha ya aliyekuwa mume wa Shilole Bwana Rommy 3D na kuandika ujumbe huu


"Si hivyo Umeweza Mzee Babaa Nilikuambia Toka Gerezani UNENEPE

Sasa Tafuta Kamodo Kakuzalie Watoto Wawili Kisha Funga kizazi Ule Bata

BONGE ANGEKUMALIZA

KWA SASA SINA MAKUNDI MIMI".

Comments


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page