Kutoka kwenye ukurasa wa Muigizaji Wema Sepetu amefunguka maneno haya kwa mpenzi wake Chibaba Whozu kupitia Instagram ameandika
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_5ca8690dbf244316bfa570bb55efd27c~mv2.jpg/v1/fill/w_526,h_526,al_c,q_80,enc_avif,quality_auto/57c8da_5ca8690dbf244316bfa570bb55efd27c~mv2.jpg)
"Mine, My True True Happiness... ."He is The Reason behind my Glow... You Complete me Baba... Mungu akuweke kwa ajili yangu... Nisije kukukosa kwenye maisha yangu naweza Kufa... Itoshe kusema Sijawahi Penda hivi jamani... Wakwangu mimi"
Comments