Klabu ya Simba imeondoshwa kwenye michuano ya Kombe la CRDB BANK FEDERATION CUP baada ya kutoa Sare ya 1- 1 na baadae kutolewa kwenye changamoto ya mikwaju ya Penati (6-5) kwenye mchezo wao dhidi ya Mashujaa FC ya Kigoma, haya ni maumivu mawili ya mfululizo baada ya kutolewa kimataifa na sasa wanatolewa Kombe la Shirikisho la CRDB hivyo wanasalia kupambania Ligi Kuu.
![](https://static.wixstatic.com/media/ca9c0e_1befb2335b6e41969d52eec346e4d996~mv2.jpg/v1/fill/w_980,h_980,al_c,q_85,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/ca9c0e_1befb2335b6e41969d52eec346e4d996~mv2.jpg)
Kommentare