
- MANGUNGUBaada ya Ligi Kuu ya NBC msimu huu kutamatika hapo jana klabu ya Simba SC ikishika nafasi ya tatu Mwenyekiti wa klabu hiyo Murtaza Mangungu amesema
"Tumepokea Matokeo ya jana kwa mikono miwili, na tunajipanga kwa kwa msimu ujao tuwe wavumilivu wanasimba"
Comments