Baada ya miaka 20 hatimaye Kombe la Muungano limerejea likiianzia hatua ya nusu Fainali kwa
![](https://static.wixstatic.com/media/ca9c0e_b9f86cb4cdab447a9c1e8f9f809f4f9f~mv2.jpg/v1/fill/w_980,h_980,al_c,q_85,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/ca9c0e_b9f86cb4cdab447a9c1e8f9f809f4f9f~mv2.jpg)
kushirikisha timu nne huko Zanzibar sasa Simba imekuwa na mchezo wa kwanza na kufanikiwa kushinda mabao mawili kwa moja magoli yakifungwa na Freddy Michael na Israel Mwenda kwa mkwaju wa penati dakika za mwishoni.
Kesho ni Azam FC dhidi ya KMKM ambapo mmoja wao atakutana Fainali na Simba SC wikiendi ya juma hili.
Comments