Klabu ya Simba SC imefungiwa michezo miwili kucheza bila mashabiki, mchezo wao dhidi ya CS Constantine Jumapili hii na mchezo mmoja wa robo fainali.
Timu ya Simba pia imetozwa faini ya dollars Elfu 40 sawa na zaidi ya shilingi millioni 96 na zilipwe baada ya siku 60.
댓글