SIMBA YATINGA ROBO FAINALI KLABU BINGWA AFRIKA SASA INA TIMU 2 SIMBA NA
YANGA.
Klabu ya Simba imetinga Robo fainali klabu Bingwa Afrika baada ya kumuondoa Jwaneng Galaxy kwa 6-0 hivyo kuifanya Tanzania iwe nchi pekee kupeleka timu mbili kwenye michuano hiyo.
Kommentare