Kutoka kwenye ukurasa wa Instagram wa Afisa habari na mawasiliano Yanga SC Ally Kamwe amefunguka haya "Singida Taratibu mnazozipigia kelele haziko Instagram, Fateni miongozo Tutakutana huko. YANGA kwa Ukubwa wake inajua inachokifanya kwenye Hatua zake
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_3e47d61763bd4d72956c2ba32d29c289~mv2.jpeg/v1/fill/w_980,h_980,al_c,q_85,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/57c8da_3e47d61763bd4d72956c2ba32d29c289~mv2.jpeg)
Ila Ushauri wangu kwenu, Msijae kwenye Mfumo wa Ajenda za hovyo za Makolo
Hao Makolo walishakopa Kocha kule Tanga na wachambuzi wakasifia sana kuwa ni jambo jema kwa Nchi... Hakuna aliyesema Lolote
Makocha kuondoka Timu moja kwenda Timu nyingine ni Jambo la kawaida kabisa.
Huu muda mnaoutumia kucheza Ngoma ya Makolo mngeuweka kwenye kutafuta Kocha mpya kama sisi Tulivyofanya chap kwa Haraka baada ya kocha wetu kuondoka
TUKUTANE KMC WANANCHI.. FOCUS NI POINT 3 LEON
MWENYEKITI WA WASEMAJI".
Comments