Pengine unaweza kuwaza inakuaje Idris Sultan akawa anakubalika ndani na nje ya mipaka ya Tanzania? Ukweli ni kuwa jamaa ana mvuto mkubwa kwa mashabiki wa sanaa na kazi zake
![](https://static.wixstatic.com/media/146e6d_cc612d95b30a4e3883bc6b02328db512~mv2.jpg/v1/fill/w_980,h_980,al_c,q_85,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/146e6d_cc612d95b30a4e3883bc6b02328db512~mv2.jpg)
zilizompa wasifu kimataifa. Inawezekana kazi za Netflix zimetembea sana kuliko sisi tulivyofikiria.
Leo katika pita pita zake Nchini Korea katika jiji la Busan Idris Sultan alikutana na mashabiki kadhaa wa kazi zake na kupata nao picha.
Hii inaweza kuwa sababu ya ziada kwa Idris kwenda Korea na hata pengine kufanya kazi na Wakorea maana tayari anakubalika kwenye mitaa yao.
Comments