Dada wa staa wa Bongofleva Alikiba aitwae @zabibu92kiba Kwenye moja ya mahojiano aliyowahi kuyafanya kupitia kituo cha #Bongofm aliweka wazi kuwa familia yao asili yao ni mkoa wa Iringa tofauti na wengi wanavyojua kuwa ni wa Kigoma.
Zabibu alisema wao ni kabila la Wahehe kutoka eneo la Kalenga Iringa ndipo asili ya Baba yao
![](https://static.wixstatic.com/media/ca9c0e_6069a3669c144fbca20d3ecfb4fbe378~mv2.jpg/v1/fill/w_980,h_980,al_c,q_85,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/ca9c0e_6069a3669c144fbca20d3ecfb4fbe378~mv2.jpg)
ila walitambulika ni watu wa Kigoma kutokana na kuwa karibu zaidi na upande wa Mama kwani Mama yao ni mtu wa Kigoma na kwa kuwa kwa kipindi kirefu wamekuwa chini ya malezi ya Mama ndio maana walifuata zaidi upande wake.
Comments