top of page

SISI NI WAKUBWA TUNATAKA KUPANGWA NA YOYOTE -AHMED

Ikiwa muda mchache umesalia droo ya Robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika ipangwe Meneja habari na mawasiliano Simba SC Ahmed Ally amesema


"Sisi ni timu kubwa hatuna sababu ya kusema tunamtaka nani au tunatamani kucheza na nani yeyote tutakaepangiwa tutaruka nae maana wote waliopo kwenye hatua ya Robo Fainali tunawamudu"

Simba ina uwezekano wa kukutana na timu za Mamelodi Sundowns, Al Ahly na Petro De Luanda huku Yanga akiwa na uwezekano wa kukutana na Mamelodi Sundowns, Asec Mimosas na Petro De Luanda.

Comments


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page