Kutoka kwa mshambuliaji wa Simba SC Leonel Ateba amefunguka haya
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_3c0708e5270a4d04a0ad96bede7a933d~mv2.jpg/v1/fill/w_980,h_980,al_c,q_85,usm_0.66_1.00_0.01,enc_auto/57c8da_3c0708e5270a4d04a0ad96bede7a933d~mv2.jpg)
"Nataka kuwafunga Yanga Tarehe 19, sitaki kujua wana mabeki wa aina gani, sitaki kujua kama kuna Sergio Ramos anacheza Yanga, sitaki kujua majina ya mabeki wa Yanga, ninachohitaji ni kufunga" Christian Lionel Ateba mbele ya waandishi wa Habari kwenye Simba Media Day.
Comments