top of page

SNURA ATANGAZA KUACHA MUZIKIAOMBA NYIMBO ZAKE ZISIPIGWE TENASASA ATAJIKITA KWENYE DINI

Mwanadada Snura Mushi mbele ya waandishi wa habari ametangaza kuacha kazi ya muziki ambapo ameomba nyimbo zake zisipigwe tena popote.



Snura ambaye alianza kutamba kwenye sanaa ya uigizaji kisha kugeukia muziki ametangaza kuacha rasmi muziki na shughuli za kisanaa na kujikita zaidi kwenye dini. Amezitaka media na watu binafsi kuacha mara moja kufanya hivyo kwa kuwa amebadilisha aina ya maisha yake kabisa.

Comments


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page