![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_fce19208b8644d6e9ad3aedaee8c4749~mv2.jpeg/v1/fill/w_980,h_980,al_c,q_85,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/57c8da_fce19208b8644d6e9ad3aedaee8c4749~mv2.jpeg)
Mchezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars na klabu ya Yanga SC Clement Mzize amefungua duka la kisasa la nguo kupitia ukurasa wake wa Instagram ameweka wazi hilo ambapo ameandika "Karibuni sana Sinza Makaburini kujipatia Nguo za Kiume za aina zote Karibuni sana mje mnisapoti kijana Wenu Sapoti yenu ni muhimu sana kwangu".
Comments