top of page

STEVE NYERERE ATAKA KUMPA KAZI HAJI MANARA

Kutoka kwa Steve Nyerere ameandika ,"MAMA ONGEA NA MWANAO TUMEKAAA TUMEONA NA TUNATAMBUA MCHANGO WAKO WA KUONGEA KUROPOKA KUBWABWAJA YANI KIPAJI"





TUMETAFAKARI SANA TUMEO TUKUAJIRI KUWA MSEMAJI WA TAASISI YETU TUNATAMBUA UNAPITA WAKATI MGUMU MNO ILA KWA HILI UWEZI KUKOSA AJIRA KAKA ZAKO TUPO, AJIRA UMEPΑΤΑ, TULIZA KICHWA SASA TUJENGE NCHI,..

KARIBU MWAMBA."


Yote yanakuja baada ya Rais wa Yanga SC Eng. Hersi Said amefunguka haya


"Klabu inamtambua @alikamwe kama afisa habari kwasababu mpaka sasa mkataba wake unasema hivyo. @hajismanara alikuwa Afisa habari wetu na alifanya kazi nzuri sana katika muda wake na alipopata changamoto akafungiwa kama klabu tulihitaji mtu wa kuisemea klabu na hapo ndipo tulimchukua @alikamwe


Kwa sasa Alikamwe ndie afisa habari wetu na upande wa Manara yeye ni mwanachama wetu na tunaangalia ni sehemu gani ambayo tutamuweka kwenye klabu" - @caamil_88 Rais wa klabu ya Yanga.

Comentarios


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page