Baadhi ya wasanii wa Filamu nchini Tanzania wakiwa nchini Korea kwa ajili ya kupata mafunzo na kubadilishana uzoefu ambapo katika picha hii wametembelea ubalozi wa Tanzania nchini
![](https://static.wixstatic.com/media/146e6d_12b8f304ec344095abc9e8aa70f2d572~mv2.jpg/v1/fill/w_980,h_980,al_c,q_85,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/146e6d_12b8f304ec344095abc9e8aa70f2d572~mv2.jpg)
Korea.
Katika picha aliyochapisha Wema Sepetu kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika caption hii
"Mapema ya leo na mheshmiwa mwenye dhamana ya ubalozi Nchini Korea na watu wake wenye moyo wa shukrani katika ziara chanya."
Umewatambua akina nani hapo?
Comments