Baada ya Simba SC kutoa sare ya 2 - 2 dhidi ya Namungo FC mchezo wa Ligi Kuu ya NBC

Meneja habari na mawasiliano Simba SC Ahmed Ally amefunguka haya
"Kwenye kipindi hiki ambacho unahitaji Jeshi lako kamili kwa ajili ya mapambano bahati mbaya sehemu kubwa ya Wanajeshi wako ni Majeruhi Pamoja na sababu nyingine lakini hii ni tatizo jipya linalotudhoofisha hivi sasa.
Insha Allah jopo la Madaktari wanapambana kuhakikisha tunapunguza idadi ya Majeruhi ili warejeee kuipambania Simba yetu
Poleni Familia". Ahmed Ally.
Commentaires